Ali Suleiman Akiwa mapokezi akisubiri
wateja awahudumie
Rais Mstaafu wa Zanzibar Akiwa na Mkewe,
Mkuu wa Mkoa Pamoja na Mkurugenzi Wa Zctv
Moh`d Al-Jabrr Na Mpiga Picha Wa zctv
Rais Mstaafu wa Zanzibar Akiwa na Mkewe,
Mkuu wa Mkoa Pamoja na Mkurugenzi Wa Zctv
Moh`d Al-Jabrr Na Editor Wa zctv
Mkurugenzi wa Zanzibar Cable Tv
Akiwa na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh:Amani A.Karume
Na Mkewe Pamoja na Mkuu Wa Mkoa Mh:Abdallah Mwinyi
Mafundi Wa Zctv Wakisubiri Kuanza Kazi
Staff wa zctv wakichagua kanzu kwa ajili ya Mwezi Mtukufu Wa
Ramadhani
Kila Mmoja Akiwa Ameshachagua
Mzee Wa katakata Yassin akionesha ya kwake
Dereva kitunge akisubiri kuanza kazi akiwa kwenye gari
Zctv Staff
Tayari kwa Kazi