Pages

Friday, July 1, 2011

 Ali Suleiman Akiwa mapokezi akisubiri
wateja awahudumie
 Rais Mstaafu wa Zanzibar Akiwa na Mkewe,
Mkuu wa Mkoa  Pamoja na Mkurugenzi Wa Zctv
Moh`d Al-Jabrr Na Mpiga Picha Wa zctv
 Rais Mstaafu wa Zanzibar Akiwa na Mkewe,
Mkuu wa Mkoa  Pamoja na Mkurugenzi Wa Zctv
Moh`d Al-Jabrr Na Editor  Wa zctv
 Mkurugenzi wa Zanzibar Cable Tv
Akiwa na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mh:Amani A.Karume
Na Mkewe Pamoja na Mkuu Wa Mkoa Mh:Abdallah Mwinyi Mafundi Wa Zctv Wakisubiri Kuanza Kazi
 Staff wa zctv wakichagua kanzu kwa ajili ya Mwezi Mtukufu Wa
Ramadhani
 Kila Mmoja Akiwa Ameshachagua
 Mzee Wa katakata Yassin akionesha ya kwake
 Dereva kitunge akisubiri kuanza kazi akiwa kwenye gari

 Zctv Staff
Tayari kwa Kazi

Wednesday, June 15, 2011

MPIGA PICHA WA ZCTV PIA MTAYARISHAJI
WA REGEE TIME KASSIM KAHALE AKIWA
KAZINI

Wednesday, June 8, 2011

SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

                                        CAMERA MAN WA ZCTV Issa Suleiman (Unlucky)
Pia Mtayarishaji wa vipindi vya REQUEST LIVE
NA ASIAN FLEVA

Wednesday, May 25, 2011

ZANZIBAR CABLE TV SITE


KAMERA MAN  WA ZCTV PIA ANAENDESHA
KIPINDI CHA LADHA ZA PWANI
VDJ ACHUDI
VDJ FIDO AKIWA KAZINI STUDIO
AKIENDESHA LUNCH TIME

                                                                D.O.P KAHALE
                                        MTAYARISHAJI WA KIPINDI CHA SEBENE                                         

Friday, November 5, 2010

KARIBUNI WOTE

Zanzibar Cable Tv Ni televisheni ya watu wote bila kujali umri au jinsia

Hapa Tutajaribu kuwaletea matokeo Tofauti ya kitaifa na pia habari tofauti zihusuzo Zctv
Natumai Mtatupa Ushirikiano wa kutosha